Common Items

Common Items

English Swahili Sound
Telephone Simu
Thread Uzi
Watch Saa
Leather Ngozi
Radio Redio
Scissors Mkasi
Rope Kamba
Pail Ndoo
Needle Sindano
Lock Funga
Towel Kitambaa
Umbrella Mwanvuli
Padlock Kufuli
Bag Mfuko
Box Sanduku
Glasses[Sun] Mawani
Nuts Nati
Screws Skrubu
Handle Kipini
Ash tray Sahani ya kuwekea majvu
Tent Hema
Knife Kisu
Ticket Tiketi
Tooth paste Dawa ya meno
Soap Sabuni
Razor Wembe
Poison Sumu
Chains minyororo
Jack Jeki
Key Ufunguo
Screwdriver Bisibisi
Pliers Koleo
Bed Kitanda
Chair Kiti
Table Meza
Desk Dawati
Ceiling Dari
Floor Sakafu
Cement Saruji
Cup Kikombe
Plate Sahani
Spoon Kijiko
Towel Kitambaa
Rope Kamba
Firewood Kuni
Stopper Kizibo
Strap Mkanda
Paint Rangi