Food staff & Fruits

Food staff & Fruits

English Swahili Sound
Meat Nyama
Pork Nyama ya Nguruwe
Beef Nyama ya Ngo'mbe
Mutton Nyama ya Kondoo
Chicken Nyama ya Kuku
Bread Mkate
Beans Maharagwe
Maize or corn Mahindi
Cake Keki
Ham Kigacha Nguruwe
Cheese Jibini
Tea Chai
Coffee Kahawa
Biscuit Biskuti
Carrots Karoti
Cabbage Kabichi
Green Leaf Vegetable Mboga za Majani
Lettuce Saladi
Tomato Nyanya
Sause Mchuzi
Yam Kiazi Kikuu
Peppers Pilipili
Lemon Limau
Orange Chungwa
Water melon Tikiti Maji
Sugarcane Miwa
Pineapple Nanasi
Grapes Zabibu
Mango Embe
Banana Ndizi
Melon Tikiti
Mustard Haradali
Peanuts Karanga
Peas Dengu
Nuts Kokwa
Onion Kitunguu
Olives Zeituni
Potatoes Viazi
Sweet Potatoes Viazi Vitamu