Illness

Illness

English Swahili Sound
Cough Kohozi
Fever Homa
Pneumonia Ugonjwa wa pafu
A headache Kuumwa na kichwa
Cold Mafua
A burn boil Kindonda
A blister Legelege
Vomiting Kutapika
Sun burn Kupigwa na jua
Sprain Kuteguka
Typhoid Homa ya tumboni
Nausea Nataka kutapika/kichefuchefu
Leprosy Ukoma
Sore throat Koo linauna
Diarrhoea Kuhara
Dysentry Kuhara damu
Syphilis Kaswende
Gonorrhoea Kisonono
Aids Ukimwi
Accident Ajali
Constipation Kuvimbiwa au kukosa choo