Parts of the Body

Parts of the Body

English Swahili Sound
Head kichwa
Hair Nywele
Eye Jicho
Check Shavu
Chin Kidevu
Ear Sikio
Eyebrow Nyusi
Lips Mdomo
Tongue Ulimi
Mouth Kinywa
Nose Pua
Scalp Ngozi ya Kichwa
Skull Fuvu
Tooth Jino
Neck Shingo
Jaw Taya
Throat Koo
Shoulder Bega
Hand Mkono
Elbow Kiwiko
Nail Ukucha
Arm Mkono
Finger Kidole
Thumb Kidole Gumba
Wrist Kifundo Cha Mkono
Chest Kifua
Breasts Matiti
Stomach Tumbo
Groin Kinena
Hip Nyonga
Heart Moyo
Lung Pafu
Leg Mguu
Buttock Tako
Thigh Paja
Foot Mguu
Waist Kiuno
Riba Ubavu
Knee Goti
Heel Kisigino
Ankle Kifundo Cha Mguu
Kidney Figo
Skin Ngozi
Toe Kidole Cha Mguu
Muscle Msuli
Joint Kiungo
Face Uso