Useful Word

Useful Word

English Swahili Sound
Name Jina
Word Neno
Go Nenda
Stand up Simama
Sleep Lala
Eat Kula
Talk Ongea
Wash Oga au nawa/fua
Clean safi
Dirty Chafu
Cstomer Mteja
Visitor Mgeni
Rest Pumzika
House Nyumba
Home Nyumbani
Water Maji
Stones Mawe
Sand Mchanga
Radio Redio
Hotel Hotel
Danger Hatari
Glass Kioo
Taste Ladha
Love Penda/Upendo
Retail Rejareja
Cheap Rahisi
Quarter Robo
Half Nusu
Bribe Rushwa
Picture Picha
Holiday Likizo
Different Tofauti
Reason Sababu
Restaurant Mgahawa
Grass Nyasi
Office Ofisi
Officer Ofisa
Warning Onyo
Marry Oa
Permission Idhini
Punish Adhibu
Promise Ahadi
Die Fariki
Death Kifo
Broadcastung Idhaa
Steal Iba
Hostel Hosteli/bweni
Judge Hakimu
Microphone Mikrofoni
East Mashariki
West Magharibi
North Kaskazini
South Kusini
Cheap Rahisi
Citizen Mwananchi
Dust Vumbi
Crossover Vuka
Storey Ghorofa
Storm Dhoruba
Injustice Dhuluma
Prove Thibitisha
Value Thamani
Air Hewa
Rain Mvua
Period Muhula/Kipindi
Neighbour Jirani
Net Wavu/Timilifu
Friendship Urafiki/Ujamaa
Chairman Mwenyekiti
Buy Nunua
Wind Upepo
Bangle Bangili
Ring Pete
Crown Taji