Verbs

Verbs

English Swahili Sound
to be able kuweza
to buy kununua
to come kuja
to cook kupika
to cry kulia
to drink kunywa
to eat kula
to feel kuhisi
to give kupa
to give out kutoa
to go kuenda/kwenda
to hear kusikia
to laugh kucheka
to like/to love kupenda
to listen kusikiliza
to look at kutazama
to look for kutafuta
to pay kulipa
to read kusoma
to remove kutoa
to say kusema
to see kuona
to sell kuuza
to sit kukaa
to sleep kulala
to speak kusema
to stand up kusimama
to think kufikiri
to travel kusafiri
to wake up kuamka
to walk kutembea
to want kutaka
to wash kuosha
to watch kutazama/kuangalia
to work kufanyakazi
to write kuandika